<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za pole kwa mwenzake wa Kenya kufuatia kutokea kwa ajali kubwa ya barabarani

    (CRI Online) Julai 05, 2023

    Rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za pole kwa mwenzake wa Kenya William Samoei Ruto kufuatia kutokea kwa ajali kubwa ya barabarani nchini humo. Kwenye zake hizo alizozitoa Julai 3, Rais Xi ametoa salamu za rambirambi kwa wafiwa na pole kwa majeruhi katika ajali hiyo iliyotokea Julai 1 katika Kaunti ya Kericho, Magharibi mwa Kenya.

    (Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

    Picha