<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Rais Xi asisitiza usimamizi wa ngazi ya juu kwa ajili ya maendeleo bora ya jeshi

    (CRI Online) Julai 26, 2023

    Rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) amesisitiza usimamizi wa ngazi ya juu kwa ajili ya kuhimiza maendeleo bora ya jeshi.

    Rais Xi amesema hayo siku ya Jumatatu alipoongoza kikao cha mafunzo ya pamoja cha Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya CPC.

    Kikao hicho kiliitishwa kabla ya maadhimisho ya siku ya kuanzishwa kwa Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) tarehe Mosi, Agosti.

    (Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

    Picha