<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Rais Xi Jinping wa China kuhudhuria mkutano wa 15 wa viongozi wakuu wa BRICS na kufanya ziara Afrika Kusini

    (CRI Online) Agosti 18, 2023

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bi Hua Chunying amesema, kutokana na mwaliko wa Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, Rais Xi Jinping wa China Agosti 21 hadi 24 atahudhuria mkutano wa 15 wa viongozi wakuu wa nchi za ushirikiano wa Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini (BRICS) utakaofanyika huko Johannesburg na kufanya ziara ya kitaifa nchini Afrika Kusini.

    Katika ziara yake, Rais Xi na mwenzake Ramaphosa wataongoza kwa pamoja mazungumzo kati ya viongozi wa China na Afrika.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha