<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Rais Xi Jinping kuhudhuria Baraza la tatu la Viongozi la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” na kufanya shughuli zinazohusiana

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2023

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying leo Jumatatu Okotba 11 ametangaza kuwa, Baraza la tatu la viongozi la Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” litafanyika kuanzia tarehe 17 hadi 18 mwezi huu hapa Beijing, likiwa na kauli mbiu ya “Ujenzi wa pamoja wa kiwango cha juu wa ‘Ukanda Mmoja, Njia Moja’, bega kwa bega kufikia maendeleo na ustawi wa pamoja”.

    Rais Xi Jinping wa China atahudhuria hafla ya ufunguzi ya baraza hilo na kutoa hotuba kuu, na kufanya karamu ya ukaribisho na shughuli za pande mbili kwa wageni watakaoshiriki kwenye baraza hilo.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha