<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Mkutano wa 24 wa viongozi wa China na Umoja wa Ulaya kufanyika Beijing

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2023

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying ametangaza Jumatatu, tarehe 4 kuwa, kama ilivyokubaliwa na pande za China na Umoja wa Ulaya, mkutano wa 24 kati ya viongozi wa pande hizo mbili utafanyika Beijing tarehe 7, Desemba.

    Rais Xi Jinping wa China atakutana na Rais wa Baraza la Ulaya Charles Michel pamoja na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen. Waziri Mkuu wa China Li Qiang ataongoza mkutano huo kwa pamoja na Charles Michel na Ursula von der Leyen.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha