<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Marais wa China na Nigeria watangaza kuinua kiwango cha uhusiano wa pande mbili

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 04, 2024

    Rais Xi Jinping wa China akifanya mazungumzo na Rais Bola Tinubu wa Nigeria, ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na ziara ya kiserikali, katika Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China. Septemba 3, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

    Rais Xi Jinping wa China akifanya mazungumzo na Rais Bola Tinubu wa Nigeria, ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na ziara ya kiserikali, katika Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 3, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

    BEIJING - Rais Xi Jinping wa China na Rais Bola Tinubu wa Nigeria ambaye yuko mjini Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na ziara ya kiserikali wamefanya mazungumzo siku ya Jumanne na kutangaza kuinua uhusiano kati ya China na Nigeria kuwa uhusiano wa kiwenzi na kimkakati wa pande zote.

    “China inapanua zaidi mageuzi kwa pande zote ili kuendeleza ujenzi wa mambo ya kisasa wa China, ambao utaleta fursa zaidi kwa maendeleo ya uhusiano kati ya China na Nigeria,” Rais Xi amesema.

    Pande hizo mbili zinapaswa kushirikiana kwa kiwango cha juu ili kufikia maendeleo yao ya ujenzi wa mambo ya kisasa na kusukuma uhusiano kati ya China na Nigeria kutimiza maendeleo mapya na makubwa zaidi.

    Rais Xi amesema kuwa nchi hizo mbili zinapaswa kuimarisha hali ya kuaminiana kimkakati, kutazama na kuendeleza uhusiano wa pande mbili kwa mtazamo wa kimkakati na wa muda mrefu, na kuungana mkono kithabiti katika masuala kuhusu maslahi yao makuu na yanayofuatiliwa na pande hizo.

    Rais Xi ametoa wito wa kuhimiza maendeleo yaliyounganishwa na kufungamana ya miundombinu, nishati na rasilimali za madini na viwanda, na kukuza maeneo ya ushirikiano yenye ukuaji mpya kama vile uchumi wa kidijitali na nishati mpya.

    China inaunga mkono Nigeria katika mapambano dhidi ya ugaidi, kudumisha utulivu wa kikanda na kubeba wajibu mkubwa zaidi katika masuala ya kimataifa na kikanda, Rais Xi amesema, akisisitiza nia ya China ya kuimarisha uratibu wa ushirikiano wa pande nyingi na Nigeria ili kulinda maslahi ya nchi zinazoendelea.

    Kwa upande wake Tinubu amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kuendeleza ushirikiano wa kimkakati wa pande zote na China, na kusema Nigeria inatarajia kuwa mwenzi mkubwa zaidi wa kibiashara na uwekezaji wa China barani Afrika.

    Baada ya mazungumzo hayo, wakuu hao wawili walishuhudia utiaji saini wa nyaraka za ushirikiano kati ya pande mbili kuhusu ushirikiano wa Ukanda Mmoja, Njia Moja, utekelezaji wa Pendekezo la Maendeleo ya Dunia, maendeleo ya uchumi, matumiz ya Mfumo wa Urambazaji wa Satalaiti wa BeiDou, mauzo ya karanga nchini China, na vyombo vya habari.

    Pande hizo mbili zimetoa taarifa ya pamoja kuhusu kuanzisha ushirikiano wa kimkakati wa pande zote na kujenga jumuiya ya ngazi ya juu ya China na Nigeria yenye mustakabali wa pamoja.?

    Rais Xi Jinping wa China akifanya hafla ya kumkaribisha Rais Bola Tinubu wa Nigeria, ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na ziara ya kiserikali, katika Ukumbi wa Kaskazini wa Jumba la Mikutano ya Umma kabla ya mazungumzo yao mjini Beijing, China, Septemba 3, 2024. (Xinhua/Li Tao)

    Rais Xi Jinping wa China akifanya hafla ya kumkaribisha Rais Bola Tinubu wa Nigeria, ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na kufanya ziara ya kiserikali, katika Ukumbi wa Kaskazini wa Jumba la Mikutano ya Umma kabla ya mazungumzo yao mjini Beijing, China, Septemba 3, 2024. (Xinhua/Li Tao)

    Rais Xi Jinping wa China akifanya mazungumzo na Rais Bola Tinubu wa Nigeria, ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na ziara ya kiserikali, katika Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China. Septemba 3, 2024. (Xinhua/Yin Bogu)

    Rais Xi Jinping wa China akifanya mazungumzo na Rais Bola Tinubu wa Nigeria, ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na ziara ya kiserikali, katika Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 3, 2024. (Xinhua/Yin Bogu)

    Rais Xi Jinping wa China akifanya hafla ya kumkaribisha Rais Bola Tinubu wa Nigeria, ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na ziara ya kiserikali, katika Ukumbi wa Kaskazini wa Jumba la Mikutano ya Umma kabla ya mazungumzo yao mjini Beijing, China, Septemba 3, 2024. (Xinhua/Yin Bogu)

    Rais Xi Jinping wa China akifanya hafla ya kumkaribisha Rais Bola Tinubu wa Nigeria, ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na ziara ya kiserikali, katika Ukumbi wa Kaskazini wa Jumba la Mikutano ya Umma kabla ya mazungumzo yao mjini Beijing, China, Septemba 3, 2024. (Xinhua/Yin Bogu)

    Rais Xi Jinping wa China akifanya hafla ya kumkaribisha Rais Bola Tinubu wa Nigeria, ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na ziara ya kiserikali, katika Ukumbi wa Kaskazini wa Jumba la Mikutano ya Umma kabla ya mazungumzo yao mjini Beijing, China, Septemba 3, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

    Rais Xi Jinping wa China akifanya hafla ya kumkaribisha Rais Bola Tinubu wa Nigeria, ambaye yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na ziara ya kiserikali, katika Ukumbi wa Kaskazini wa Jumba la Mikutano ya Umma kabla ya mazungumzo yao mjini Beijing, China, Septemba 3, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)

    Rais Xi Jinping wa China na Rais Bola Tinubu wa Nigeria wakishuhudia utiaji saini nyaraka za ushirikiano baada ya mazungumzo yao mjini Beijing, China, Septemba 3, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

    Rais Xi Jinping wa China na Rais Bola Tinubu wa Nigeria wakishuhudia utiaji saini nyaraka za ushirikiano baada ya mazungumzo yao mjini Beijing, China, Septemba 3, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha