<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Jionee hali ya ikolojia ya Mashamba ya Ngazi ya Ziquejie Kwenye Miteremko Mikali Milimani

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 10, 2024

    Mashamba ya Ngazi ya Ziquejie Kwenye Miteremko Mikali Milimani, yaliyoko katika Wilaya ya Xinhua, Mji wa Loudi, Mkoa wa Hunan, China ni maarufu kwa sifa zake za kipekee za mazingira ya asili na ya kitamaduni. Yameorodheshwa katika kundi la kwanza la Orodha ya Urithi wa Miradi ya Umwagiliaji Duniani na Urithi Muhimu wa Utamaduni wa Kilimo Duniani.

    Jambo la kushangaza zaidi kuhusu mashamba hayo ni mfumo wake wa umwagiliaji wa nguvu za mvutano. Hakuna dimbwi lolote au bwawa lolote katika mashamba hayo yenye ukubwa wa mu 80,000 (hekta 5333.33 hivi), lakini kuna chanzo cha mara kwa mara cha maji ya umwagiliaji.

    Maji haya yote yanatoka wapi? Je, hizi "hifadhi za maji zisizoonekana" zinaundwaje? Bofya kwenye video na ufuatane na Elena, mtaalam wa kigeni kutoka People's Daily Online, ili kujionea hali ya ikolojia wa Mashamba ya Ngazi ya Ziquejie Kwenye Miteremko Mikali Milimani.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha