<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Wanafunzi wa Kenya Wajifunza kuandika Neno la Lugha ya Kichina “Fu” ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2022
    Wanafunzi wa Kenya Wajifunza kuandika Neno la Lugha ya Kichina “Fu” ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China
    Wanafunzi wakijifunza kuandika neno la Lugha ya Kichina “Fu”, maana yake ni baraka na furaha wakati wa shughuli ya kiutamaduni kuhusu Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China, kwenye Sekondari ya Wasichana ya State House huko Nairobi, Kenya, Januari 19, 2022. (Xinhua/Long Lei)
    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha