<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Maandalizi ya kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China yafanyika katika hali motomoto (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 28, 2022
     Maandalizi ya kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China yafanyika katika hali motomoto
    Watu wakichagua na kununua mapambo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwenye Soko la Mwaka Mpya katika Mji wa Longnan wa Mkoa wa Gansu, Januari 27. (Mpiga picha:Ran Chuangchang)

    Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China wa Chuimilia inakaribia huku hali ya kusherehekea Mwaka Mpya kila mahali nchini China ikiwa na pilikapilika zaidi.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha