<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Siku ya wanyamapori na mimeapori: kurejesha viumbe muhimu na kurejesha mfumo wa ikolojia (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 03, 2022
    Siku ya wanyamapori na mimeapori: kurejesha viumbe muhimu na kurejesha mfumo wa ikolojia
    Huyu ni picha ya simba iliyopigwa katika Hifadhi ya Taifa ya Masai Mara ya Kenya Agosti 30, Mwaka 2021. (Xinhua/Mpiga picha: Dong Jianghui)

    Machi 3 ni siku ya wanyamapori na mimeapori. Kaulimbiu ya siku hiyo kwa Mwaka 2022 ni “kurejesha viumbe muhimu na kurejesha mfumo wa ikolojia ” ambayo inalenga kuhamasisha watu kufuatilia hali ya kulinda wanyamapori walioko kwenye hatari kubwa ya kutoweka, na mimeapori iliyoko kwenye hatari ya kutoweka.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha