<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Chai ya kichina yakutana na mvinyo wa Afrika Kusini katika Siku ya Lugha ya Kichina

    (CRI Online) April 20, 2022
    Chai ya kichina yakutana na mvinyo wa Afrika Kusini katika Siku ya Lugha ya Kichina
    Mwalimu wa Taasisi ya Confucius ya Dawa za Mitishamba za Kichina ya Chuo Kikuu cha Western Cape akijulisha chai ya kichina kwa wateja huko shamba la mvinyo la Groot Constantia, Afrika Kusini, Aprili 19, 2022.

    Ushirikiano wa kielimu kati ya China na Afrika Kusini umeleta utamaduni wa chai ya kichina kwenye shamba la mvinyo la Groot Constantia mjini Cape Town, lenye historia ndefu zaidi nchini Afrika Kusini, ili kuhimiza mawasiliano ya kiutamaduni na kusherehekea Siku ya Lugha ya Kichina ya Umoja wa Mataifa inayoadhimishwa Aprili 20 kila mwaka.

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Confucius ya Dawa za Mitishamba za Kichina katika Chuo kikuu cha Western Cape Zeng Liren amesema, utengenezaji wa chai ya kichina na mvinyo unahitaji vitu vinavyofanana ambavyo ni moyo wa kujitolea, uchapaji kazi na ufundi wa juu, kwa hivyo taasisi yake imeandaa shughuli hiyo ya chai kwenye shamba la mvinyo ili kuhimiza mawasiliano kati ya tamaduni hizo mbili.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha