<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong kufunguliwa Julai 2 (10)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2022
    Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong kufunguliwa Julai 2
    Picha iliyopigwa Juni 17, 2022 ikionesha sanaa zitakazoonekana kwenye Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong.

    Jumba la Makumbusho ya Kasri la Ufalme la Hong Kong linatazamiwa kufunguliwa kwa umma tarehe 2, Julai, ambapo yataonesha sanaa zaidi ya 900 zenye thamani kubwa kutoka kwa vitu vilivyohifadhiwa kwenye Kasri la Ufalme la Beijing. (Picha/Xinhua)

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha