<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Sikukuu ya Ngalawa za Dragon ya kikabila yashereheshwa Guizhou (8)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 24, 2022
    Sikukuu ya Ngalawa za Dragon ya kikabila yashereheshwa Guizhou
    Tarehe 22, Juni, 2022, watu wa kabila la Wamiao wakishiriki kwenye michezo ya sikukuu ya ngalawa za dragon kwenye mto wa Qingshui wa Wilaya ya Shiping, Mkoa wa Guizhou.

    Watu wa kabila la Wamiao wanasherehekea sikukuu ya ngalawa za dragon ya kikabila kwa ajili ya kuomba hali nzuri ya hewa na mavuno. (Picha/Chinanews)

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha