<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Idadi ya watalii yaongezeka wakati wa likizo ya majira ya joto Chishui, Guizhou (2)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 04, 2022
    Idadi ya watalii yaongezeka wakati wa likizo ya majira ya joto Chishui, Guizhou
    Agosti 3, timu za ngalawa za Dragon zikishiriki kwenye mbio za ngalawa za Dragon kwenye Mto Gongshui katika wilaya ya Xuanen.

    Kadiri likizo ya majira ya joto linavyowadia, ndivyo idadi ya watalii inavyongezeka dhahiri katika maeneo mbalimbali ya vivutio katika Mji wa Chishui, Mkoa wa Guizhou, na shughuli za utalii zimeanza kufanyika katika hali ya motomoto. Miaka ya hivi karibuni, Mji wa Chishui imeendelea kuboresha miundombinu na vifaa vya shughuli za utalii, kutoa hatua kadhaa kusaidia ukuaji wa sekta ya utalii na kuwavutia watalii wengi kuja kutembelea, ambapo imehimiza kwa nguvu ufufukaji wa soko la utalii.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha