Lugha Nyingine
Maji ya Mto Mekong yaongezeka huko Vientiane, Laos
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 22, 2022
Agosti 20, wavuvi wakivua samaki kwenye Mto Mekong ambao maji yake yameongezeka katika Vientiane, Laos. (Picha na droni) |
Vientiane, mji mkuu wa Laos, uko kwenye kando za Mto Mekong, Mwezi Agosti ni kipindi masika ambapo mvua nyingi zinanyesha mfululizo na kusababisha maji ya Mto Mekong kuongezeka. (Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma