<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Wanafunzi wapata lepe kwenye viti vinavyoweza kubadilika huko Chongqing (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 07, 2022
    Wanafunzi wapata lepe kwenye viti vinavyoweza kubadilika huko Chongqing
    Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza akibadilisha kiti ili kupata lepe wakati wa mapumziko ya mchana katika shule ya msingi ya Wilaya ya Yunyang ya Chongqing, China tarehe 6, Septemba, 2022. (Picha: China News Service/Tan Qiyun)

    Wanafunzi wanaweza kupata lepe wakati wa mapumziko ya mchana kwa kupitia kuinuliwa kwa meza na kubadilisha viti.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha