<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Xinjiang yawa mojawapo ya maeneo maarufu ya utalii wa majira ya baridi nchini China (9)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 13, 2023
    Xinjiang yawa mojawapo ya maeneo maarufu ya utalii wa majira ya baridi nchini China
    Kijana akionyesha samaki kwenye shughuli za Siku ya Utalii na Uvuvi wa majira ya baridi katika Wilaya ya Fuhai, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China, Januari 7, 2023. (Xinhua/Li Xiang)

    Xinjiang, ambayo inajivunia hali nzuri ya mazingira ya asili na vituo vingi vya kiwango cha juu vya kuteleza kwenye theluji, imechukua nafasi kubwa katika sekta hiyo inayostawi ili kuwa moja ya maeneo maarufu ya utalii wa majira ya baridi nchini China.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha