<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Mji wa Huzhou katika Mkoa wa Zhejiang, China wafanya juhudi katika kuhimiza ujenzi wa vijiji vyenye mandhari nzuri (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 15, 2023
    Mji wa Huzhou katika Mkoa wa Zhejiang, China wafanya juhudi katika kuhimiza ujenzi wa vijiji vyenye mandhari nzuri
    Picha hii iliyopigwa Juni 14, 2023 ikionyesha mandhari ya Kijiji cha Wupu kilichoko Kitongoji cha Zhili, katika Mji wa Huzhou, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. (Xinhua/Xu Yu)

    Ukiwa kando ya Ziwa Taihu, Kitongoji cha Zhili katika Mji wa Huzhou umefanya kila jitihada kuhimiza ujenzi wa vijiji vyenye mandhari nzuri kwenye ukingo wa kusini wa Ziwa Taihu baada ya kutekelezwa kwa Mpango wa Ustawishaji wa Kijani Vijijini katika Mkoa wa Zhejiang.

    Kwa sasa, Mji wa Zhili umefikia maendeleo kamilifu ya ujenzi wa vijiji vyenye mandhari nzuri katika vijiji 34, na kujenga mandhari nzuri ya vijijini kando ya ukingo wa kusini wa Ziwa Taihu.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha