<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Mji wa Yangzhou nchini China washuhudia uunganishaji wa utamaduni wa kijadi na tasnia ya ubunifu wa kitamaduni (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 20, 2023
    Mji wa Yangzhou nchini China washuhudia uunganishaji wa utamaduni wa kijadi na tasnia ya ubunifu wa kitamaduni
    Picha hii ya angani iliyopigwa Juni 14, 2023 ikionyesha mandhari ya eneo la mandhari nzuri ya mfereji la Sanwan huko Yangzhou, Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China. (Xinhua/Ji Chunpeng)

    Katika miaka ya hivi karibuni, mji wa Yangzhou umejitolea kulinda urithi wake wa kihistoria na kitamaduni, kudumisha sifa tofauti za mji mkongwe, na kuboresha mazingira ya maisha ya watu na hali ya kitamaduni. Yangzhou pia inaendelezwa kwa haraka katika uvumbuzi, ikishuhudia uunganishaji wa utamaduni wa kijadi na tasnia ya ubunifu ya kitamaduni.

    Huku lengo la maendeleo ya kisasa ya China likiwa katika maono, Yangzhou inafanya kila juhudi kujenga mji wenye uvumbuzi wa kiteknolojia, mji wa utalii wa kitamaduni na mji wenye kupendeza, unaowezesha watu kuishi kwa furaha.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha