<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Afrika Kusini yashuhudia kuongezeka kwa watalii katika kipindi cha Januari-Juni (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 21, 2023
    Afrika Kusini yashuhudia kuongezeka kwa watalii katika kipindi cha Januari-Juni
    Watalii wakitembelea bustani huko Cape Town, Afrika Kusini, Agosti 13, 2023. (Xinhua/Dong Jianghui)

    Kwa mujibu wa takwimu za hivi punde kutoka Idara ya Takwimu ya Afrika Kusini, nchi hiyo ilipokea watalii wapatao milioni 4.07 katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Juni Mwaka 2023, ikiwa ni ongezeko la asilimia 78.2 ikilinganishwa na kipindi kama hicho cha mwaka jana.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha