<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Kongamano la Tisa la Nishan kuhusu Ustaarabu wa Dunia lafanyika Qufu, Mashariki mwa China (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2023
    Kongamano la Tisa la Nishan kuhusu Ustaarabu wa Dunia lafanyika Qufu, Mashariki mwa China
    Mwonyeshaji bidhaa akitambulisha sanamu ya kinyunya ya Caozhou kwa watembeleaji wa maonyesho kwenye Kongamano la Tisa la Nishan kuhusu Ustaarabu wa Dunia huko Qufu, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Septemba 26, 2023. (Xinhua/Guo Xulei)

    Likiwa limefanyika kuanzia Jumanne hadi Alhamisi katika Mji wa Qufu, Mkoa wa Shandong alikozaliwa mwanafalsafa wa kale wa China, Confucius (551 K.K.-479 K.K.), Kongamano la Tisa la Nishan kuhusu Ustaarabu wa Dunia linatoa jukwaa kwa wasomi na wataalamu mashuhuri katika masomo ya kitamaduni ili kupata uelewa mzuri zaidi wa kuimarisha majadiliano kati ya tamaduni mbalimbali.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha