<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Nafaka za majira ya mpukutiko zilizovunwa sehemu mbalimbali nchini China (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2023
    Nafaka za majira ya mpukutiko zilizovunwa sehemu mbalimbali nchini China
    Wakulima wakikausha mahindi katika Kijiji cha Zhoujiazhuang kilichoko kaskazini mwa Mji wa Jinzhou, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Oktoba 5, 2023. (Picha na Jia Zaixing/Xinhua)

    Wizara ya Kilimo na Vijiji ya China imesema siku ya Alhamisi kwamba asilimia 42.2 ya nafaka zote za majira ya mpukutiko zimevunwa katika sehemu mbalimbali nchini China. Na mchele zaidi ya nusu wa msimu wa kati, asilimia zaidi ya 40 ya mahindi, na karibu asilimia 40 ya soya imevunwa hadi sasa.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha