<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Katika Picha: Mandhari ya magenge kwenye Mto Manjano huko Henan, China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 10, 2023
    Katika Picha: Mandhari ya magenge kwenye Mto Manjano huko Henan, China
    Picha hii iliyopigwa kutoka angani Oktoba 8, 2023 ikionyesha mandhari ya bonde la eneo la juu la mtiririko wa mto la mradi wa kuhifadhi maji wa Xiaolangdi kwenye Mto Manjano katika Mji wa Jiyuan, Mkoa wa Henan, Katikati mwa China. (Xinhua/Li Jianan)
    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha