<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatoa jukwaa kwa washiriki kuonyesha tamaduni tofauti (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2023
    Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatoa jukwaa kwa washiriki kuonyesha tamaduni tofauti
    Picha hii iliyopigwa Novemba 6, 2023 ikionyesha mdoli uliotengenezwa kwa mkono kutoka Peru kwenye Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, Mashariki mwa China. (Xinhua/Zhang Jiansong)

    Mbali na fursa za kibiashara, Maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yaliyoanza mjini Shanghai tangu Novemba 5 pia yanatoa jukwaa kwa waonyeshaji bidhaa kutoka nchi na maeneo mbalimbali kuonyesha utamaduni wao wa kipekee kwa Dunia.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha