<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Maonyesho ya Usafiri wa Anga ya Asia Mwaka 2023 yaanza katika Mji wa Zhuhai, China (2)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2023
    Maonyesho ya Usafiri wa Anga ya Asia Mwaka 2023 yaanza katika Mji wa Zhuhai, China
    Picha hii iliyopigwa Novemba 23, 2023 ikionyesha modeli za injini zinazoonyeshwa kwenye banda la Shirika la Injini za Vyombo vya Usafiri wa Anga la China kwenye Maonyesho ya Usafiri wa Anga ya Asia Mwaka 2023 mjini Zhuhai, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. (Xinhua/Deng Hua)

    ZHUHAI - Maonyesho ya Usafiri wa Anga ya Asia Mwaka 2023, yaliyoandaliwa na Shirika la Maonyesho ya Usafiri wa Anga la Zhuhai na Kampuni ya AERO Friedrichshafen ya Ujerumani, yameanza katika Kituo cha Kimataifa cha Maonyesho ya Anga cha Zhuhai, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China siku ya Alhamisi.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha