<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Sanamu?zaidi ya 30 za nyumba za mkate wa tangawizi zaonyeshwa Vancouver, Canada kuelekea Sikukuu ya Krismasi (7)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 06, 2023
    Sanamu?zaidi ya 30 za nyumba za mkate wa tangawizi zaonyeshwa Vancouver, Canada kuelekea Sikukuu ya Krismasi
    Mtu akitazama nyumba ya mkate wa tangawizi kwenye shughuli ya Gingerbread Lane mjini Vancouver katika Jimbo la British Columbia, nchini Canada, Desemba 5, 2023. (Picha na Liang Sen/Xinhua)

    Sanamu zaidi ya 30 za nyumba za mkate wa tangawizi (gingerbread houses) zimeonyeshwa kwa umma kwenye shughuli ya kila mwaka ikiwa ni sehemu ya shamrashamra na mapambo ya kijadi nchini humo ya Sikukuu ya Krismasi.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha