<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Mji wa Harbin, Kaskazini Mashariki mwa China wajipanga kwa ujio wa pilikapilika za utalii kwa kujenga sanamu nyingi za theluji (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 13, 2023
    Mji wa Harbin, Kaskazini Mashariki mwa China wajipanga kwa ujio wa pilikapilika za utalii kwa kujenga sanamu nyingi za theluji
    Wasanii wa sanamu wakitengeneza sanamu kubwa ya theluji kwenye eneo la kivutio cha utalii la Kisiwa cha Jua huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Desemba 12, 2023. (Xinhua/Wang Jianwei)

    Ukiwa na sanamu nyingi za theluji zilizojengwa kwenye bustani ya “Dunia ya Theluji”, Mji wa Harbin katika Mkoa wa Heilongjiang nchini China unaojulikana kama “Mji wa Barafu” wa China katika eneo la Kaskazini Mashariki, unashuhudia kuwadia kwa msimu wenye pilikapilika nyingi za utalii.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha