<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Bustani ya Theluji na Barafu ya Mji wa Harbin nchini China kufunguliwa Desemba 18 (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 15, 2023
    Bustani ya Theluji na Barafu ya Mji wa Harbin nchini China kufunguliwa Desemba 18
    Picha hii ya angani iliyopigwa Desemba 12, 2023 ikionyesha eneo la ujenzi wa Bustani ya Theluji na Barafu ya Mji wa Harbin, ambayo ni bustani maarufu duniani ya msimu inayofunguliwa kila majira ya baridi yanapowadia, katika Mji wa Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Desemba 12, 2023. (Xinhua/Zhang Tao)

    Bustani ya Theluji na Barafu ya Mji wa Harbin, ambayo ni bustani maarufu duniani yenye mandhari ya majira ya baridi itafunguliwa kwa ajili ya msimu wake wa 25 wa majira ya baridi Desemba 18. Inakadiriwa kuwa barafu na theluji zenye mita za ujazo 250,000 zitatumika katika ujenzi wake.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha