<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Watu nchini China wafanya shughuli za kukaribisha kwa furaha Mwaka Mpya (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 29, 2023
    Watu nchini China wafanya shughuli za kukaribisha kwa furaha Mwaka Mpya
    "Timu ya Michezo ya Sanaa ya Ngoma ya Simba ya Watoto" kutoka Shule ya Chekechea ya Eneo la Pengshan katika Mji wa Meishan, Mkoa wa Sichuan, China ikitumbuiza Michezo ya Sanaa ya Ngoma ya Simba kwa umma, Desemba 27. (Picha na Weng Guangjian/Xinhua)

    Mwaka mpya umekaribia, mitaa na vichochoro vimepambwa na mapambo ya kupendeza, na watu wanakaribisha mwaka mpya wa 2024 kwa shughuli mbalimbali.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha