<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Wanafunzi wajifunza mila na?desturi za Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika Taasisi ya Confucius nchini Tanzania (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2024
    Wanafunzi wajifunza mila na?desturi za Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika Taasisi ya Confucius nchini Tanzania
    Mwanafunzi akionyesha mabango yenye ujumbe wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam jijini Dar es Salaam, Tanzania, Januari 26, 2024. (Picha na Herman Emmanuel/Xinhua)

    Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania imewaelimisha na kuwafahamisha wanafunzi wenyeji mila na desturi zinazohusiana na Mwaka Mpya wa Jadi wa China, au Sikukuu ya Spring siku ya Ijumaa.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha