<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Vitoto vya panda vyaoneshwa kwa umma kwa pamoja katika kundi kwenye vituo vya kuzaliana huko Sichuan, China (10)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 07, 2024
    Vitoto vya panda vyaoneshwa kwa umma kwa pamoja katika kundi kwenye vituo vya kuzaliana huko Sichuan, China
    Kitoto cha panda kikionekana kwenye Eneo la Shenshuping la Kituo cha Utunzaji na Utafiti wa Panda cha China huko Wolong, Mkoa wa Sichuan, Kusini-Magharibi mwa China, Februari 4, 2024. (Li Chuanyou/Xinhua)

    Vitoto vya panda jumla ya 34 vimezalishwa na Kituo cha Utunzaji na Utafiti wa Panda cha China na Kituo cha Utafiti wa Kuzaliana kwa Panda cha Chengdu Mwaka 2023.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha