<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Wakulima wawa na pilika nyingi za shughuli za kilimo kote China (2)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 07, 2024
    Wakulima wawa na pilika nyingi za shughuli za kilimo kote China
    Mkulima akilima shamba katika Kijiji cha Longfu cha Mji wa Liuyang, Mkoa wa Hunan, Katikati ya China, Machi 6, 2024. (Xinhua/Chen Zeguo)

    Wakulima katika mikoa mingi ya China wako katika pilika nyingi mashambani kwa ajili ya ulimaji, upandaji wa mbegu na shughuli nyingine za kilimo cha majira ya mchipuko.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

    Picha