<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Sherehe za kuashiria kuanza kwa kilimo cha majira ya mchipuko zafanyika Mkoa wa Xizang, China (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 18, 2024
    Sherehe za kuashiria kuanza kwa kilimo cha majira ya mchipuko zafanyika Mkoa wa Xizang, China
    Wakulima wakicheza opera ya jadi kwenye sherehe ya kuashiria kuanza kwa kilimo cha majira ya mchipuko katika Mji mdogo wa Codoi katika Wilaya ya Lhunzhub ya Mji wa Lhasa, Mkoa wa Xizang, Kusini-Magharibi mwa China, Machi 16, 2024. (Xinhua/Zhang Rufeng)

    Sherehe za kuashiria kuanza kwa kilimo cha majira ya mchipuko zimefanyika katika Mkoa wa Xizang, Kusini-Magharibi mwa China siku ya Jumamosi ambapo wakulima wakiwa wameshikilia "chema" (sanduku la mbao lililojaa nafaka za rangi na unga wa shayiri, ikiashiria bahati nzuri na ustawi katika tamaduni za Watibet), waliimba nyimbo, na kugongeana bilauri za mvinyo ya shayiri. Sherehe hiyo ina umuhimu mkubwa kwani inaashiria mwanzo wa msimu wa kilimo cha mwaka mpya na hutumika kwa ajili ya kuombea hali ya hewa nzuri na mavuno mengi. Inachukuliwa kuwa ibada muhimu katika maeneo ya kilimo ya Xizang.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: 天天拍夜夜拍高清视频| 日韩av无码精品一二三区| 97精品一区二区视频在线观看| 丰满人妻熟妇乱又仑精品| 一千零一夜电影无删减版在线看| 国产一区精品视频| 日本三级2021最新理论在线观看| 亚洲av日韩av不卡在线观看| 一级毛片60分钟在线播放久草高清在线| 麻豆视频传媒二区| 日本乱偷人妻中文字幕在线| 久久精品aⅴ无码中文字字幕| 久久午夜夜伦鲁鲁片无码免费| 欧美乱xxxxxxxxx| 国产性夜夜春夜夜爽| 精品亚洲综合在线第一区| 夜夜爽一区二区三区精品| 成年黄网站色大免费全看| 黑人猛男大战俄罗斯白妞| 武林高贵肥臀胖乳美妇| 一区二区三区在线免费| 人妻av无码专区| а√最新版地址在线天堂| 国产精品99在线观看| 在线观看国产剧情麻豆精品| 日本爽爽爽爽爽爽在线观看免| 国产麻豆精品原创| 翁与小莹浴室欢爱51章| 97人妻人人做人碰人人爽| 欧美aaaaaa级午夜福利视频| 国产a三级三级三级| 荡货把腿给我打开视频| 再深点灬舒服灬太大了网站| 白嫩极品小受挨cgv| 国产黄色毛片视频| 中文乱码精品一区二区三区| 特级毛片全部免费播放a一级| 豪妇荡乳1一5白玉兰| 欧美日韩一区二区综合| 亚洲av无码一区二区二三区| 动漫美女和男人羞羞漫画|