<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Upandaji wa mpunga wa kijani na kilimo cha teknolojia za kisasa vyachochea maendeleo ya kilimo ya China (8)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 19, 2024
    Upandaji wa mpunga wa kijani na kilimo cha teknolojia za kisasa vyachochea maendeleo ya kilimo ya China
    Wafanyakazi wakiandaa mashine ya kupanda miche ya mpunga kiotomatiki kwenye kituo cha kisasa cha upanadaji wa mpunga katika Wilaya ya Datonghu ya Mji wa Yiyang, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Aprili 10, 2024. (Xinhua/Chen Zhenhai)

    Katika miaka ya hivi karibuni, serikali za mitaa katika Ziwa Chaohu lililoko Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China na Ziwa Datong katika Mkoa wa Hunan katikati mwa China zimekuwa zikihamasisha kupanda mpunga kwa njia ya kijani na kuendeleza kilimo cha teknolojia za kisasa kwa kupitia kupunguza mbolea na kuboresha ufanisi, kuzuia na kudhibiti magonjwa na wadudu, na kuanzisha majukwaa ya kisasa ya kilimo, ili kusukuma mbele maendeleo ya kilimo.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha