<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Rais Xi Jinping akagua Mkoa wa Ningxia Kaskazini Magharibi mwa China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 21, 2024
    Rais Xi Jinping akagua Mkoa wa Ningxia Kaskazini Magharibi mwa China
    Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) akitembelea sehemu moja ya makazi mjini Yinchuan, katika Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, Kaskazini Magharibi mwa China Hui, Juni 19, 2024. (Xinhua/Xie Huanchi)

    YINCHUAN - Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) amekagua Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia Kaskazini Magharibi mwa China siku ya Jumatano ambapo alitembelea jumuiya ya makazi katika mji wa Yinchuan, ambao ni mji mkuu wa mkoa huo, na kufahamishwa kuhusu namna matawi ya Chama mashinani yanavyotekeleza majukumu yao.

    Rais Xi Pia amefahamishwa kuhusu kazi ya jumuiya katika kuboresha huduma kwa wakazi na kuwezesha mawasiliano na mwingiliano kati ya watu wa makabila tofauti.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha