<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    China iko tayari kusukuma uhusiano na Poland hadi ngazi ya juu: Rais Xi (2)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 25, 2024
    China iko tayari kusukuma uhusiano na Poland hadi ngazi ya juu: Rais Xi
    Rais Xi Jinping wa China akifanya hafla ya kumkaribisha Rais wa Poland Andrzej Duda, ambaye yuko katika ziara ya kiserikali nchini China, kwenye uwanja ulio nje ya lango la mashariki la Jumba la Mikutano ya Umma kabla ya mazungumzo kati ya Xi na Duda mjini Beijing, China, Juni 24, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

    BEIJING - Rais wa China Xi Jinping siku ya Jumatatu alipokuwa na mazungumzo mjini Beijing na Rais wa Poland Andrzej Duda, ambaye yuko katika ziara ya kiserikali nchini China ameahidi nia ya China kushirikiana na Poland katika kusukuma mbele maendeleo ya uhusiano wa pande mbili kwenye ngazi ya juu na kuleta utulivu na uhakika zaidi katika dunia yenye misukosuko.

    Akisema kuwa, Poland ni moja ya nchi za kwanza kuitambua Jamhuri ya Watu wa China, Rais Xi amesema uhusiano wa pande mbili umedumisha maendeleo thabiti tangu nchi hizo mbili zilipoanzisha uhusiano wa kidiplomasia miaka 75 iliyopita.

    Tangu uhusiano kati ya China na Poland umeinuliwa kuwa wenzi wa ushirikiano wa kimkakati wa pande zote miaka minane iliyopita, mawasiliano na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika sekta mbalimbali umepanuka na kuendelezwa kwa kina, na kunufaisha watu wa nchi hizo mbili.

    Akibainisha kuwa mabadiliko makubwa yanatokea duniani kwa namna ambayo haijawahi kushuhudiwa, Rais Xi amesema China ingependa kujiunga pamoja na Poland katika kushikilia Kanuni tano za Kuishi Pamoja kwa Amani, kushikilia nia ya awali ya wakati wa kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia, kuendeleza urafiki wa jadi, kusukuma mbele maendeleo ya uhusiano wa pande mbili kwenye ngazi ya juu, na kuingiza utulivu na uhakika zaidi katika Dunia yenye misukosuko.

    China imeamua kutekeleza sera ya siku 15 ya kuingia na kuishi China bila visa kwa raia wa Poland, Rais Xi amesema, huku akiongeza kuwa pande zote mbili zinapaswa kuhimiza kwa nguvu mawasiliano katika mambo ya utamaduni, kati ya vijana, sekta ya taaluma na kati ya vyombo vya habari.

    Ameongeza kuwa China ingependa kushirikiana na Poland na nchi nyingine katika kuhimiza maendeleo endelevu ya mfumo wa ushirikiano kati ya China na Ulaya ya Kati na Mashariki, na kuendeleza maendeleo mazuri na tulivu ya uhusiano kati ya China na Umoja wa Ulaya.

    Kwa upande wake Duda amesema ziara ya Rais Xi nchini Poland mwaka 2016 ilikuwa hatua muhimu katika maendeleo ya uhusiano wa wenzi wa ushirikiano wa kimkakati wa pande zote kati ya nchi hizo mbili.

    Pendekezo la Rais Xi la Ukanda Mmoja, Njia Moja linawakilisha fursa kubwa za maendeleo kwa Poland, na ushirikiano wa Ukanda Mmoja, Njia Moja umechochea sana ujenzi wa miundombinu na maendeleo ya kiuchumi ya Poland, amesema.

    Poland inathamini sana kanuni zinazofuatwa na China katika masuala ya kimataifa na mchango wake kwa amani na maendeleo ya dunia, Duda amesema, huku akisisitiza kuwa Poland inashikilia kithabiti kanuni ya kuwepo kwa China moja.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    主站蜘蛛池模板: hdjapanhdsexxx| 日韩av无码一区二区三区| 中文字幕第六页| 成年女人免费碰碰视频| 男彩虹用的app小蓝| 欧美性猛交xxxx免费看蜜桃| 亚洲av无码久久寂寞少妇| 国产欧美精品AAAAAA片| 成全视频在线观看免费高清动漫视频下载| 浮力影院第一页| 日韩a级毛片免费观看| 疯狂的欧美乱大交| 特级精品毛片免费观看| 中文字幕在线视频免费| 豪妇荡乳1一5白玉兰| 一级做a爰片性色毛片黄书| 免费做暖1000视频日本| 日韩精品欧美一区二区三区| 蕾丝视频在线看片国产| 99精品欧美一区二区三区综合在线| 精品一区二区三区在线视频| 波多野结衣33| 精品一区二区三区在线观看| 97久久婷婷五月综合色d啪蜜芽| 午夜在线观看免费影院| 国产三级电影在线观看| 亚洲色欲色欲www| 日本大片免a费观看视频| 怡红院视频在线| 免费无毒A网站在线观看| 免费一级在线观| 中文字幕无码免费久久9一区9| 动漫人物桶动漫人物免费观看| 亚洲欧美日韩精品中文乱码| 久久精品.com| √8天堂资源地址中文在线| 人人狠狠综合久久亚洲| 天天爽夜夜爽夜夜爽精品视频| 人妻少妇偷人精品视频| 免费大片av手机看片| 国产三级无码内射在线看|