<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Utalii katika?mji wa pwani wa Qingdao?wapamba moto katika siku za majira ya joto

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2024
    Utalii katika?mji wa pwani wa Qingdao?wapamba moto katika siku za majira ya joto
    Picha hii iliyopigwa tarehe 24 Juni 2024 ikionyesha mandhari ya pwani mjini Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Picha na Wang Haibin/Xinhua)

    QINGDAO - Utalii katika mji wa pwani wa Qingdao katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China unazidi kupamba moto huku watalii wa ndani na nje ya China wakienda mjini humo kufurahia mandhari ya pwani na kupoza miili yao katika siku za majira ya joto.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha