<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Mbwa wa kunusa watia fora kwenye Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji Haramu wa Dawa za Kulevya (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2024
    Mbwa wa kunusa watia fora kwenye Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji Haramu wa Dawa za Kulevya
    Mbwa akifanya onyesho la kunusa na kubaini dawa za kulevya kwenye shughuli ya kuhimiza kupinga matumizi ya dawa za kulevya iliyofanyika katika shule ya Xujiazhuang ya Wilaya ya Deqing ya Mji wa Huzhou, Mkoa wa Shandong, China, tarehe 1, Septemba, 2023. (Picha na Xie Shangguo/VCG)

    Tarehe 26, Juni ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji Haramu wa Dawa za Kulevya. Katika vita hivyo dhidi ya dawa za kulevya, kuna kundi muhimu sana ambalo ni mbwa wa kunusa na kubaini dawa za kulevya. Uwezo wao wa kuhisi dawa za kulevya, unaweza kusaidia binadamu kuona au kubaini dawa za kulevya zilizofichwa kwa undani sana.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha