<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Wanaanga wa China wa Chombo cha Shenzhou-18 wakamilisha kazi yao ya pili ya kutembea kwenye anga ya juu (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 04, 2024
    Wanaanga wa China wa Chombo cha Shenzhou-18 wakamilisha kazi yao ya pili ya kutembea kwenye anga ya juu
    Picha hii ya skrini iliyopigwa kwenye Kituo cha Udhibiti wa Anga ya juu cha Beijing Julai 3, 2024 ikionyesha mwanaanga wa China wa chombo cha Shenzhou-18 Li Cong akifanya shughuli za nje ya chombo.?(Xinhua/Guo Zhongzheng)

    Ofisi ya mradi wa safari ya anga ya juu ya China ilisema kuwa wanaanga wa chombo cha Shenzhou No.18 wamekamilisha kazi yao ya pili ya kutembea kwenye anga ya juu.

    Hadi sada, “safari ya kazi kwenye anga ya juu” ya wanaanga wa chombo cha Shenzhou No.18 imekamilika kwa theluthi moja, baadaye watafanya majaribio ya kisayansi na kiteknolojia kwenye obiti.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha