<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Madarasa ya ustawi wa jamii yang’alisha likizo ya watoto?katika Mkoa wa Hainan, China (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 19, 2024
    Madarasa ya ustawi wa jamii yang’alisha likizo ya watoto?katika Mkoa wa Hainan, China
    Mwalimu akifundisha watoto kuandika maandishi ya lugha ya Kichina, Julai 18.

    Wakati wa likizo ya majira ya joto, Maktaba ya Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China imeanzisha madarasa ya ustawi wa jamii, ikitoa kozi za bila malipo kama vile ufundi wa kufinyanga na kuunda vyombo vya udongo, maandishi ya lugha ya Kichina na utengenezaji wa modeli za roketi ya anga ya juu kwa ajili watoto ili kufanya maisha yao ya likizo kuwa yenye burudani na furaha nyingi zaidi. (Mpiga picha:Guo Cheng/Xinhua)

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha