<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Shindano la tambi chachu za unga wa mchele lafanyika Kusini mwa China (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2024
    Shindano la tambi chachu za unga wa mchele lafanyika Kusini mwa China
    Mshiriki akiandaa viungo mbalimbali kwenye shindano la kupika tambi chachu za unga wa mchele huko Lingshui, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Julai 26, 2024. (Xinhua/Pu Xiaoxu)

    LINGSHUI - Tambi chachu za unga wa mchele za Lingshui ni tambi maarufu za kienyeji katika Mji wa Lingshui, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China na ziliorodheshwa kuwa mali ya urithi wa mkoa wa utamaduni usioshikika Mwaka 2009. Hivi karibuni shindano la kupika tambi limefanyika katika mji huo wa Lingshui ili kutangaza shughuli za tambi chachu hizo za unga wa mchele.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha