<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Fan Zhendong wa?China Anyakua Medali ya kwanza ya Dhahabu?ya Mchezo wa Tenisi?ya Mezani?kwa wanaume?kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2024
    Fan Zhendong wa?China Anyakua Medali ya kwanza ya Dhahabu?ya Mchezo wa Tenisi?ya Mezani?kwa wanaume?kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris
    Bingwa wa China, Fan Zhendong (katikati), mshindi wa nafasi ya pili, mchezaji wa Sweden, Truls Moregardh aliyepata medali ya fedha (kushoto) na mshindi wa nafasi ya tatu, mchezaji wa Ufaransa, Felix Lebrun aliyepata medali ya shaba wakiwa kwenye hafla ya kutunukiwa medali, Agosti 4. (Xinhua/ Wang Dongzhen)

    Fan Zhendong wa Timu ya China amemshinda Truls Moregardh wa Sweden kwa seti 4: 1 Siku ya Jumapili, Agosti 4 kwenye fainali ya Mchezo wa Tenisi ya Mezani ya mchezaji mmoja dhidi ya mmoja kwa Wanaume ya Michezo ya Olimpiki ya Paris, na kushinda medali ya kwanza ya dhahabu ya pekee yake ya Olimpiki kwa mchezo huo, na kuwa mchezaji wa Grand Slam ambaye ameshinda Kombe la Dunia, Ubingwa wa Dunia wa Tenisi ya Mezani na ubingwa wa Olimpiki wa tenisi ya mezani kwa mchezaji mmoja dhidi ya mmoja.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

    Picha