Lugha Nyingine
Mali ya Urithi wa Utamaduni Usioshikika Kando Mbili za Mfereji Mkuu wa China Yaonyeshwa Mkoani Hebei (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2024
SHIJIAZHUANG - Ukiwa na eneo la ujenzi lenye ukubwa wa jumla ya mita za mraba 31,000 na jumla ya eneo la maonyesho lenye ukubwa wa mita za mraba 15,885, Jumba la Maonyesho ya Mali ya Urithi wa Utamaduni Usioshikika ya Mfereji Mkuu wa China katika Mji wa Cangzhou, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China linaonyesha vitu mbalimbali ambavyo ni bora zaidi vya mali ya urithi wa utamaduni usioshikika wa mikoa na miji minane kando ya Mfereji Mkuu wa China, vikilifanya jumba hilo kukaribishwa zaidi na wakazi wa mji huo na watalii kutoka sehemu mbalimbali nchini.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma