<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Sherehe?ya?pamoja ya?Siku ya Kuzaliwa kwa Panda yajaa furaha?tele (8)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 07, 2024
    Sherehe?ya?pamoja ya?Siku ya Kuzaliwa kwa Panda yajaa furaha?tele
    Panda mapacha “Qinglu” na “Qinghua” wenye umri wa miaka 3 wakisherehekea kwa pamoja siku ya kuzaliwa kwao, tarehe 6, Agosti. (Xinhua/ Wang Quanchao)

    Jana Jumanne, Agosti 6, Mbuga ya Wanyama ya Lehe Ledu katika Wilaya ya Yongchuan ya Mji wa Chongqing, China ilifanya sherehe ya pamoja ya siku ya kuzaliwa yenye furaha tele kwa panda mapacha wenye umri wa miaka mitatu “Qinghua” na “Qinglu”, na panda “Qiaoyue” mwenye umri wa miaka 6.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

    Picha