<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Quan na Chen wa China wanyakua medali za dhahabu na fedha katika fainali ya wanawake kupiga mbizi kutoka jukwaa la kimo cha mita 10 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 07, 2024
    Quan na Chen wa China wanyakua medali za dhahabu na fedha katika fainali ya wanawake kupiga mbizi kutoka jukwaa la kimo cha mita 10 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris
    Mpiga mbizi wa China Quan Hongchan (mbele katikati) aliyeshinda ubingwa, mpiga mbizi wa China Chen Yuxi (mbele kushoto) aliyeshinda nafasi ya pili na mpiga mbizi wa DPRK (mbele kulia) Kim Mi Rae aliyeshinda nafasi ya tatu wakiwa kwenye hafla ya kutunukiwa medali tarehe 6, Agosti. Picha na Zhang Yuwei/Xinhua

    Kwenye fainali ya mchezo wa kupiga mbizi kwa wanawake kutoka jukwaa la kimo cha mita 10 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris iliyofanyika jana Jumanne, mpiga mbizi wa China Quan Hongchan amenyakua medali ya dhahabu, huku mchezaji mwingine wa China Chen Yuxi akishinda medali ya fedha.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

    Picha