<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Picha: Eneo Maalum la Kwanza la China la Viwanda vya Nishati ya Upepo wa Baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda (2)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
    Picha: Eneo Maalum la Kwanza la China la Viwanda vya Nishati ya Upepo wa Baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda
    Wafanyakazi wa Kampuni ya Kuzalisha Umeme kwa Upepo ya Dongfang wakiunda mitambo ya kuzalisha umeme kwa upepo wa baharini yenye uwezo wa megawati 18 kwenye Eneo Maalum la Viwanda vya Kuzalisha Umeme kwa Nishati ya Upepo wa Baharini la Magenge Matatu la Fujian, mjini Fuqing, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, Agosti 8, 2024. (Xinhua/Jiang Kehong)

    Eneo hilo maalum la viwanda, likiwa na thamani ya jumla ya uwekezaji wa Yuan bilioni 4 (Dola takriban milioni 557.7 za Kimarekani), ni eneo maalum la kwanza la viwanda vya kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo wa baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda hivyo nchini China.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

    Picha