<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Kwenda ufukweni kuepuka?joto kali kwavutia watu wengi?katika Mji wa Rizhao, Mkoani Shandong, China (4)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
    Kwenda ufukweni kuepuka?joto kali kwavutia watu wengi?katika Mji wa Rizhao, Mkoani Shandong, China
    Walinzi wa usalama wa Kituo cha Yangguanghaian cha Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji wakifanya doria na kuwatahadharisha watalii wazingatie usalama wakati wa kujiburudisha kwenye ufukwe wa Wangpingkou katika Mji wa Rizhao, China, tarehe 8, Agosti.

    Siku hizi, kuepuka joto kwenye kando za bahari za Mji wa Rizhao, Mkoa wa Shandong, China zilizopo katika pwani ya Bahari ya Manjano ya China, kunazidi kuvutia watu wengi. Bahari ya buluu, anga la buluu na ufukwe wazi vimevutia watalii wengi kwenda katika mji huo kwa ajili ya kujiburudisha na kucheza michezo ya ufukweni.

    (Mpiga picha: Guo Xulei/XINHUA)

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

    Picha