<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Maonesho ya Magari ya Kisasa yafunguliwa Shanghai (5)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2024
    Maonesho ya Magari ya Kisasa yafunguliwa Shanghai
    Watu wakijaribu kuendesha gari jipya la Xiaomi linalotumia nishati mpya SU7 kwenye Maonesho ya Magari ya Kisasa yanayounganishwa na mtandao na maonesho ya China ya magari ya kujiendesha huko Shanghai, Agosti 9, 2024. (Picha/VCG)

    Maonesho ya China ya Magari ya Kisasa yanayounganishwa na mtandao na maonesho ya China ya magari ya kujiendesha yalifunguliwa Shanghai siku ya Alhamisi. Shughuli hiyo inafuatilia viwanda vya magari ya kisasa yanayotumia umeme, ikilenga kujenga jukwaa la biashara ya magari yanayotumia nishati mpya ndani ya kituo kimoja.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha