<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Watu Watembelea Kituo?cha Tembo?Yatima?cha Sri Lanka (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 13, 2024
    Watu Watembelea Kituo?cha Tembo?Yatima?cha Sri Lanka
    Picha iliyopigwa Agosti 11 ikionyesha tembo akiwa katika Kituo cha Tembo Yatima cha Pinnawela nchini Sri Lanka. (Xinhua/Chen Dongshu)

    Agosti 12 ya kila mwaka ni Siku ya Tembo Duniani. Kituo cha Tembo Yatima cha Pinnawela nchini Sri Lanka kilianzishwa mwaka 1975 na kinajikita mahususi katika kuasili tembo wachanga ambao wamepoteza wazazi wao msituni au tembo wenye kukabiliwa na majeraha na magonjwa.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha