<abbr id="aakgw"><source id="aakgw"></source></abbr>
<dl id="aakgw"><tr id="aakgw"></tr></dl>
<li id="aakgw"></li>
  • <li id="aakgw"></li>
    <bdo id="aakgw"></bdo>
    <sup id="aakgw"><bdo id="aakgw"></bdo></sup><code id="aakgw"></code>

    Watu wafurahia wikendi kwenye Jumba la Makumbusho la Magari Mjini Beijing (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 19, 2024
    Watu wafurahia wikendi kwenye Jumba la Makumbusho la Magari Mjini Beijing
    Watoto wakiendesha magari ya Karting kwenye uwanja wa wazi wa Jumba la Makumbusho la Magari la Beijing, Agosti 18. (Xinhua/Zhang Chenlin)

    Jumapili, wazazi wengi wanapeleka watoto wao kwenda kutembelea Jumba la Makumbusho la Magari la Beijing lililoko katika eneo la Fengtai, Mjini Beijing, na wakijifunza mambo kuhusu magari, kujaribu mchezo wa mawasiliano, na kufurahia muda wao wa wikendi.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha